Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Hatua Za Marekani DRC

Sauti 10:15
Nembo ya Ubalozi wa Marekani nchini DRC.
Nembo ya Ubalozi wa Marekani nchini DRC.
Na: Karume Asangama

Habari Rafiki siku ya leo tumetupia jicho Hatua ya Marekani juu ya DRC. Wasikilizaji mbali mbali wanaweka bayana mitazamo juu ya msimamo wa Marekani na kuamuru raia wake kuondoka nchini mule kuhofia machafuko yanayoweza kutokea tena mjini kinshasa nchini DRC.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.