Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Sintofahamu ya kiuongozi ndani ya chama cha upinzani cha CUF Tanzania

Sauti 20:51

Hali ya sintofahamu ya kiuongozi ndani ya chama cha upinzani cha CUF cha nchini Tanzania na Zanzibar, Marekani kuwawekea vikwazo magenerali wawili huko jamhuri ya kidemokrasia ya Congo: John Numbi, na Tango Four, kuapishwa kwa rais Ali Bongo Ondimba pamoja na mdahalo wa wagombea wawili katika uchaguzi unaotazamiwa kufanyika mwezi ujao nchini Marekani, ni miongoni mwa mengi yaliyoangaziwa juma hili hapa Rfi Kiswahili. Ungana na mwandishi wetu Martha Saranga kusikiliza zaidi.