Changu Chako, Chako Changu

Historia na Utamaduni wa Ususi Barani Afrika

Sauti 20:24
Moja ya mitindo ya kusuka barani Afrika tokea enzi hizo za zamani.
Moja ya mitindo ya kusuka barani Afrika tokea enzi hizo za zamani.

Pata historia na utamaduni wa kusuka barani Afrika, tokea enzi zile za zamani za kihistoria mpaka leo nyakati za sasa. Burudani ya muziki kama kawaida.