Habari RFI-Ki

Ziara ya Joseph Kabila nchini Tanzania

Sauti 10:04
Rais wa Tanzania, John Magufuli akiwa na mgeni wake rais wa DRC, Joseph Kabila wakati alipowasili jijini Dar es Salaam, Tanzania.
Rais wa Tanzania, John Magufuli akiwa na mgeni wake rais wa DRC, Joseph Kabila wakati alipowasili jijini Dar es Salaam, Tanzania. Ikulu/Tanzania

Leo katika kipindi cha Habari Rafiki tunatupia jicho ziara ya rais wa DRC, Joseph Kabila, nchini Tanzania na nchi hizo mbili kukubaliana kufanya biashara pamoja kwa njia ya bandari na anga.