Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Tanzania na DRCongo kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na usalama

Sauti 21:26
Rais wa DRC, Joseph Kabila, akiteta jambo na rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli wakati alipokuwa ziarani jijini Dar es Salaam, Tanzania, 4 October 2016.
Rais wa DRC, Joseph Kabila, akiteta jambo na rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli wakati alipokuwa ziarani jijini Dar es Salaam, Tanzania, 4 October 2016. Ikulu/Tanzania

Makala hii imeangazia ziara ya rais joseph Kabila nchini Tanzania ambapo kiongozi hguyo pamoja na mwenyeji wake wa Tanzania John pombe Magufuli wamekubaliana kuimarisha ushirikiano wa kibiashara lakini pia wa kiusalama kati ya mataifa hayo mawili, , ziara ya maafisa wa umoja wa mataifa wanaoshughulikia haki za binadamu, wakati katika uga wa kimataifa uhusiano kati ya Urusi na Marekani kuendelea kuwa mashakani.