Jua Haki Zako
Mkutano wa wanawake wa pembezoni barani Afrika kufanyika nchini Tanzania
Imechapishwa:
Cheza - 08:02
Makinika na Scholastica Haule, meneja wa kitengo cha wanawake wa shirika la kimataifa, ActionAid, akifafanua mkutano mkuu wa wanawake waliopo pembezoni barani Afrika kufanyika nchiniTanzania hivi karibuni.