Habari RFI-Ki

Vyombo vya habari vya kimataifa vinavyoripoti mzozo wa Syria na mizozo ya Afrika

Sauti 10:45
Athari za vita  katika mji wa Aleppo nchini Syria
Athari za vita katika mji wa Aleppo nchini Syria KARAM AL-MASRI / AFP

Katika makala haya utasikia maono ya wasikilizaji kuhusu jinsi vyombo vya habari vya kimataifa vinavyoangazia mgogoro wa Syria na migogoro ya bara la Afrika, karibu