Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mjumbe wa umoja wa mataifa kutumwa Burundi wiki ijayo

Imechapishwa:

Makala hii ya yaliyojiri juma hili imeangazia hatua ya wabunge nchini Burundi kuridhia mpango wa serikali wa kujiondoa kama mwanachama wa mahakama ya kimataifa ya  ICC, na siasa zinazoendelea nchini Jamhuri ya kidemokrasia umoja wa mataifa ukielezea wasiwasi wake kuhusu mustakabali wa taifa hilo, na katika uga wa kimataifa, mbali na maandalizi ya uchaguzi nchini Marekani, makala hii pia imeangazia mdahalo wa kwanza wa wagombea wa kiti cha rais nchini Ufaransa.

Kikao baraza la usalama la umoja wa mataifa mjini Manhattan, New York, U.S., July 29, 2016. REUTERS/Andrew Kelly
Kikao baraza la usalama la umoja wa mataifa mjini Manhattan, New York, U.S., July 29, 2016. REUTERS/Andrew Kelly Reuters
Vipindi vingine