Jua Haki Zako

Changamoto za wanawake kumiliki ardhi barani Afrika

Sauti 09:08
Wanawake wa Nigeria.
Wanawake wa Nigeria. REUTERS/Afolabi Sotunde

Scholastica Haule, meneja wa kitego cha wanawake kutoka shirika la kimataifa la ActionAid anaendelea kufafanua mawili matatu kuhusu changamoto za wanawake kumiliki ardhi barani Afrika, hususan nchini Tanzania.