Habari RFI-Ki

Makubaliano yafikiwa kuhusu uchaguzi DRC

Sauti 10:01
Mpatanishi wa mzozo wa kisiasa nchini DRC, Edem Kodjo (katikati), wakati wa mazungumzo hayo hivi karibuni.
Mpatanishi wa mzozo wa kisiasa nchini DRC, Edem Kodjo (katikati), wakati wa mazungumzo hayo hivi karibuni. Reuters

katika makala haya utasikia maoni ya wasikilizaji kuhusu makubaliano yaliyofikiwa na vyama vinavyo muunga mkono rais Joseph Kabila wa DRC na upinzani unaoshiriki mazungumzo ya kitaifa chini ya upatanishi wa mjumbe wa Umoja wa Afrika Edem Kojo , kuhusu usimamizi wa nchi baada ya muhula wa pili wa rais Kabila kutamatika Desemba 20 na tarehe mpya ya uchaguzi, karibu