Mjadala wa Wiki

Je kuna tija katika Makubaliano yaliyosainiwa DRC huku kundi lingine la upinzani likiachwa kando?

Sauti 13:55
Rais wa DRC, Josephu Kabila, ambaye amesema hakuna kitakachozuia kufanyika kwa uchaguzi
Rais wa DRC, Josephu Kabila, ambaye amesema hakuna kitakachozuia kufanyika kwa uchaguzi DR

Mazungumzo ya kitaifa yaliyokuwa yakiendelea jijini kinshasa nchini DRC yamefikia tamati yake hapo jana ambapo makubaliano ya kisiasa yamesainiwa baina ya pande zilizoshiriki.Hata hivyo upinzani Rassemblement ambao hawakushiriki wanatupilia mbali makubaliano hayo na kuyazungumzia kuwa sio tukio.DRC Rubens Mikindo ambaye ni mwenyekiti wa chama cha UDPS JIMBONI KIVU KASKAZINI akiwa kinshasa,.na DOKTA KAKULE KAVALE NI Mshauri wa kiasiasa wake Vital Kamerhe ambao wameshiriki mazungumzo.