Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Makubaliano kuhusu uchaguzi DRC, ziara ya mfalme wa Morocco nchini Rwanda

Imechapishwa:

Makala ya mtazamo wako kwa yaliyojiri juma hili imeangazia makubaliano ya kisiasa yaliyofikiwa kati ya wajumbe wa serikali ya DRC na wapinzani walioshiriki mwazungumzo chini ya mpatanishi wa umoja wa Afrika Edem Kojo, huku kukiwa mitazamo tofauti kutoka kwa wadau wa kitaifa na wa kimataifa, lakini pia makala imeangazia ziara ya mfalme mohammed wa VI wa Morocco katika mataifa ya Afrika mashariki kuanzia nchini Rwanda.Siasa za Marekani kuelekea uchaguzi novemba 8, na mapigano huko Iraq. 

Mpatanishi wa AU katika mazungumzo ya kisiasa nchini DRC Edem Kodjo, akiongoza mkutano wa wanasiasa kunako hôtel Béatrice, jijini Kinshasa Agosti 23/2016
Mpatanishi wa AU katika mazungumzo ya kisiasa nchini DRC Edem Kodjo, akiongoza mkutano wa wanasiasa kunako hôtel Béatrice, jijini Kinshasa Agosti 23/2016 Photo MONUSCO/Theophane Kinda
Vipindi vingine