Jua Haki Zako

Wanawake kupaza sauti zao kwenye kilele cha Mlima wa Kilimanjaro

Sauti 09:04
Mlima wa Kilimanjaro, wa pili kwa ukubwa duniani na wa kwanza barani Afrika.
Mlima wa Kilimanjaro, wa pili kwa ukubwa duniani na wa kwanza barani Afrika. Chris 73/Wikimedia Commons

Wanwake barani Afrika wafanya tukio la kiharakati kwa kupanda mlima wa Kilimanjaro, nchini Tanzania, hadi kileleni, kama ishara ya kupaza sauti zao na kupambana dhidi ya mifumo kandamizi barani humu. Makinika na baadhi ya wanawake waliopanda mlima huo wakifafanua tukio hilo.