Changu Chako, Chako Changu

Mtaalamu wa sanaa kutoka Chuo Kikuu Cha Dar es salaam anazungumza

Imechapishwa:

Leo tunaungana na Profesa Elias Jengo wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam nchini Tanzania, mtaalamu wa sanaa akieleza masuala juu ya sanaa za mikono na matumizi ya vitu vya asili nchini Tanzania na barani Afrika kwa ujumla. Sikiliza uhabarike, uelimike na uburudike.

Moja ya michoro ya Profesa Elias Jengo.
Moja ya michoro ya Profesa Elias Jengo.
Vipindi vingine