Jua Haki Zako

Wanawake kupaza sauti zao kwenye kilele cha Mlima wa Kilimanjaro sehemu ya pili

Sauti 09:16
Wanawake waliopanda mlima wa Kilimanjaro hadi kileleni kama ishara ya kupambana na mifumo kandamizi  na kupaza sauti zao juu ya usawa kwa wote.
Wanawake waliopanda mlima wa Kilimanjaro hadi kileleni kama ishara ya kupambana na mifumo kandamizi na kupaza sauti zao juu ya usawa kwa wote.

Fuatilia sehemu ya pili juu ya wanawake waliopanda mlima wa Kilimanjaro kama ishara ya kupambana na mifumo kandamizi barani Afrika na kupaza sauti kuhusu usawa kwa wote.