Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mjumbe wa umoja wa mataifa kuhusu maziwa makuu atembelea DRC

Sauti 21:02
Mjumbe maalum wake katibu mkuu wa Umoja wa mataifa kuhusu maziwa makuu, Said Djinnit, akiwa mjini Goma mashariki mwa DRC katika mkutano na jumuia ya wanawake 2014
Mjumbe maalum wake katibu mkuu wa Umoja wa mataifa kuhusu maziwa makuu, Said Djinnit, akiwa mjini Goma mashariki mwa DRC katika mkutano na jumuia ya wanawake 2014 MONUSCO/Alain Wandimoyi

Makala hii imeangazia maadhimisho ya miaka mitatu tangu kuuawa kwa waandishi wa habari wawili wa RFI Ghislain Dupont na Claude Verlon mjini Kidal kaskazini mwa Mali, hali ya kisiasa inayojiri kwa sasa nchini DRCongo kuelekea uchaguzi mkuu, mashirika ya kiraia nchini Kenya kuitisha maandamano, rais wa Tanzania kusimamia mkutano wa wahariri katika muktadha wa kutimiza mwaka mmoja ya utawala wake na mengineyo.