Jua Haki Zako
Wanawake kupaza sauti zao kwenye kilele cha Mlima wa Kilimanjaro Sehemu ya Tatu
Imechapishwa:
Cheza - 08:48
Fuatilia sehemu ya tatu na ya mwisho ya mada hii juu ya wanawake kupaza sauti zao kwenye kilele cha mlima wa Kilimanjaro kama ishara ya kupambana na mifumo kandamizi kwenye jamii zetu.