Habari RFI-Ki

Donald Trump ashinda urais nchini Marekani

Sauti 10:09
Rais mteule wa Marekani Donald Trump
Rais mteule wa Marekani Donald Trump REUTERS/Andrew Kelly

Tunasikia kutoka kwa Waafrika kutoka ukanda wa Afrika Mashariki na Kati na kwingineko duniani, kuhusu ushindi wa Donald Trump baada ya kumshinda Hillary Clinton katika uchaguzi wa urais nchini  Marekani.