Habari RFI-Ki

Maandamano ya kupinga ushindi wa Trump yasambaa

Sauti 10:09
Raia wa Marekani wameandamana kupinga ushindi wa Donald Trump
Raia wa Marekani wameandamana kupinga ushindi wa Donald Trump REUTERS/Mario Anzuoni

karibu katika makala ya habari rafiki leo tunaangazia maoni ya waafrika waishio nchini Marekani wana maoni gani wakati huu maandamano ya kupinga ushindi wa Trump yakijiri nchini humo?