Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Ushindi wa D.Trump nchini Marekani, Ujumbe wa UN kutembelea DRC

Imechapishwa:

Sehemu kubwa ya makala hii imeangazia uchaguzi wa rais wa Marekani ambapo Donald J.Trump ameibuka mshindi na kuwa rais wa 45 wa nchi hiyo, pia tumeangazia hatua ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) kutoa wito kwa wajumbe wa baraza la usalama la umoja wa mataifa ambao wameanza ziara yao ya siku tatu nchini DRCongo kukemea "ukandamizaji wa kisiasa".Karibu kujiunga na mwandishi Reuben Lukumbuka.

Donald Trump pamoja na Mwenyekiti wa kamati ya wabunge wa chama cha republican Mitch McConnell, november 10, 2016, jijini Washington.
Donald Trump pamoja na Mwenyekiti wa kamati ya wabunge wa chama cha republican Mitch McConnell, november 10, 2016, jijini Washington. REUTERS/Joshua Roberts
Vipindi vingine