Changu Chako, Chako Changu
Uswahili: Shirika Mpya ya Ushirikiano wa Kiutamaduni na Kiisimu
Imechapishwa:
Cheza - 20:56
Leo kwenye studio zetu tuna moja wa wadau wa shirika la kimataifa ya ushirikianao wa kiutamaduni na kiisimu kwa kupitia lugha ya Kiswahili akifafanua zaidi kuhusu shirika hilo inayojulikana kwa jina la Uswahili. Pata mambo kedekede kupitia makala haya ya Changu Chako Chako Changu.