Habari RFI-Ki

Maoni ya raia wa DRC kuhusu hotuba ya rais Joseph Kabila

Sauti 10:13
Rais wa DRC Joseph Kabila.
Rais wa DRC Joseph Kabila. REUTERS/Tiksa Negeri/File Photo

Katika makala haya utasikia maoni mbalimbali kuhusu hotuba ya rais wa nchi ya DRC Joseph Kabila  hii leo wakati akihutubia bunge la kitaifa na baraza la seneti