Mjadala wa Wiki

Hotuba ya rais Joseph Kabila wa DRC na mitazamo ya wanasiasa

Sauti 13:17
Rais Joseph Kabila wa DRC mbele ya bunge la kitaifa na senet, Novemba 15 2016.
Rais Joseph Kabila wa DRC mbele ya bunge la kitaifa na senet, Novemba 15 2016. JUNIOR D.KANNAH / AFP

Makala hii imeangazia kauli ya rais wa Jamhuri ya demokrasi ya Congo Joseph Kabila, ambapo katika katika hotuba yake mbele ya bunge la taifa na baraza la Senet hapo jana amewahakikishia wananchi kwamba ataiheshimu katiba ya nchi na kwamba atahakikisha makubaliano yaliyofikiwa hivi punde chini ya mpatanishi wa Umoja wa Afrika Edem Kojo yanatekelezwa.Waalikwa LIVE ni Reubens Mikindo wa chama cha upinzani cha UDPS na Omari Kavota mwanaharakati na mwenyekiti wa shirika la Cepadho.