Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Hotuba ya rais Kabila wa DRC na kuahirishwa kufungwa kambi ya Dadaab Kenya

Sauti 21:37
Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, wakati akihojiwa na kituo cha RFI/ TV 5 na France24. 15 Novemba 2016.
Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, wakati akihojiwa na kituo cha RFI/ TV 5 na France24. 15 Novemba 2016. RFI

Katika makala hii, tumeangazia DRC hotuba ya rais Joseph Kabila Kabange, uteuzi wa Samy Badibanga kama waziri mkuu wa nchi hiyo, wafadhili wa kimataifa kuahidi $2.2 za kimarekani kwa jamhuri ya Afrika ya kati, kutamatika kwa mkutano wa kimataifa kuhusu mabadikiliko ya tabia nchi, mjini Marakech nchini Morocco, kuahirishwa kufungwa kwa kambi ya Dadaab nchini Kenya, lakini pia katika uga wa kimataifa uchaguzi wa mwakani nchini Ufaransa, na ziara ya rais Barack Obama barani ulaya.