Habari RFI-Ki

Nini mchango wa televisheni katika kubadili ulimwengu?

Sauti 09:15
Siku ya kimataifa ya Televisheni
Siku ya kimataifa ya Televisheni Christophe Carmarans / RFI

Leo katika makala ya HABARI RAFIKI tunazungumzia siku ya kimataifa ya televisheni.Siku hii inatambuliwa kimataifa na tarehe kama ya leo 1996 ndipo kongamano la kwanza la kidunia kuhusu televisheni lilifanyika.Lengo likiwa ni kutambua mchango wa televisheni toka kugunduliwa kwake.Msikilizaji ni kwa vipi televisheni imebadilisha dunia?kiutamaduni,kisiasa,na hata kiuchumi?Vipi faida zake ukilinganisha na radio?