Habari RFI-Ki

Morocco kujiondoa katika mkutano wa wakuu wa mataifa ya Afrika,ina maanisha nini?

Sauti 09:10
Mfalme wa 6 wa Morocco (kushoto) akiwa na mwenyeji wake Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli (kulia). 23 October 2016.
Mfalme wa 6 wa Morocco (kushoto) akiwa na mwenyeji wake Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli (kulia). 23 October 2016. Ikulu/Tanzania/Issa Michuzi

Nchi ya Morocco pamoja na mataifa kadhaa ya kiarabu, wamejiondoa kushiriki mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika na zile za kiarabu mjini Malabo, Equatorial Guinea, wakipinga uwepo wa ujumbe kutoka eneo la Polisario (Sahara Magharibi).Je hatua hii ya Morocco unaizungumziaje?Je Morocco ina nia ya dhati kurejea katika umoja wa Afrika?Mataifa ya Afrika yanatakiwa kuchukua hatua gani juu ya hali hii?