Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mjadala wa wagombea wa urais Ufaransa, na kampeni bye bye Kabila kuanza DRC

Sauti 21:24
Rais wa DRC Joseph Kabila mbele ya bunge la kitaifa na Senet, novembre 15 2016 jijini Kinshasa.
Rais wa DRC Joseph Kabila mbele ya bunge la kitaifa na Senet, novembre 15 2016 jijini Kinshasa. JUNIOR D.KANNAH / AFP

Makala hii imeangazia mdahalo wa wagombea wa kiti cha urais Ufaransa na barani Afrika kumefunguliwa mkutano wa nchi zinazozungumza lugha ya kifaransa: francophonie, na nchini DRC umoja wa ulaya kuiomba serikali ya Kinshasa kuandaa mazingira mazuri kufanikisha kufanyika kwa uchaguzi, lakini pia kampeini Bye bye Kabila, na huko Marekani maswali mengi kuanza kujitokeza kuhusu ushindi wa rais mteule wa Marekani Donald Trump