Habari RFI-Ki

Maoni ya watanzania kuhusu kifo cha Fidel Castro

Sauti 10:00
Fidel Castro, rais wa zamani wa Cuba, Ikulu Havana Juni 06 2005.
Fidel Castro, rais wa zamani wa Cuba, Ikulu Havana Juni 06 2005. REUTERS/Mariana Bazo/ảnh tư liệu

Makala ya habari rafiki, hii leo imeangazia kifo cha aliyewahi kuwa rais wa Cuba Fidel Castro.Serikali nchini humo imetangaza maombolezo ya kitaifa ya siku tisa huku kifo chake kikizuwa hisia tofauti.Fidel Castro, amefahamika kwa siasa zake za kimapinduzi, na kutawala taifa hilo kwa miongo kadhaa.Je Fidel Castro atakumbukwa kwa kipi barani Afrika?Ungana na mwandishi wetu Edmond Lwangi Tcheli kusikiliza zaidi.