Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mauaji ya mjini Kasese Uganda, Shambulio katika Kambi ya Luhanga DRC

Sauti 21:10
Kukamatwa kwa mmoja wa walinzi wa mfalme wa Rwenzururu Charles Wesley Mumbere Kasese Uganda, Novemba 29, 2016.
Kukamatwa kwa mmoja wa walinzi wa mfalme wa Rwenzururu Charles Wesley Mumbere Kasese Uganda, Novemba 29, 2016. REUTERS/James Akena

Makala ya wiki hii imeangazia mauaji yaliyofanyika huko Kasese nchini Uganda, na kule DRC katika kambi ya Luhanga, mashariki mwa nchi hiyo, na wanasiasa wa upinzani kusisitiza kuendelea na maandamano ya kumshinikiza rais Joseph Kabila kuondoka madarakani, ushindi wa kiongozi wa upinzani nchini Gambia, wakati kimataifa, tumeangazia habari za kimataifa ikiwemo hatua ya rais wa Ufaransa Francois Hollande kutangaza kutowania urais kwa muhula wa pili mwaka ujao..