Tarehe 3 Mwezi wa Kumi na Mbili ya kila mwaka ni siku ya watu wenye ulemavu duniani. Nchini DRC wameadhimisha vipi siku hii licha ya hali tete kijamii, kiuchumi na kisiasa? Sikiliza uhabarike na uelimike.