Wimbi la Siasa

Mazungumzo mapya ya kisiasa yaanza nchini DRC

Sauti 09:39
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani UDPS Etienne Tshisekedi anayeshiriki katika mazungumzo mapya
Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani UDPS Etienne Tshisekedi anayeshiriki katika mazungumzo mapya AFP PHOTO / JUNIOR DIDI KANNAH

Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, limefanikiwa kuwaleta pamoja wapizani waliosusia mazungumzo ya awali ya kisiasa na wanasiasa wa serikali nchini humo kuhusu hatima ya rais Joseph Kabila.Je, mazungumzo haya mapya yatazaa matunda ?