Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mgomo wa madaktari nchini Kenya, Bernard Caseneuve ateuliwa kuwa waziri mkuu mpya Ufaransa

Sauti 21:00
Kiongozi wa waasi wa LRA nchini Uganda Dominic Ongwen mbele ya mahakama ya ICC  Desemba 6 2016.
Kiongozi wa waasi wa LRA nchini Uganda Dominic Ongwen mbele ya mahakama ya ICC Desemba 6 2016. REUTERS/Peter Dejong/Pool

Mgomo wa madaktari nchini Kenya, kesi inayomkabili mmoja kati ya viongozi wa kundi la waasi wa uganda wa LRA nchini Uganda, na awamu ya pili ya mazungumzo ya kisiasa nchini DRC, ni miongoni mwa habari zilizopewa uzito katika matangazo yetu juma hili, wakati kimataifa bunge la Korea Kusini kupiga kura ya kutokuwa na imani na rais Park, lakini pia nchini Ufaransa, waziri wa mambo ya ndani Bernard Caseneuve kuteuliwa kuwa waziri mkuu akimrithi Manuel Valls, aliyetangaza nia ya kuwania kiti cha urais.