Juma hili tunaangazia siku ya kimataifa ya haki za binadamu, tarehe 10 Mwezi wa Kumi na Mbili ya kila mwaka, imeadhimishwa vipi nchini Kenya? Hususan nchi hiyo ikielekea kwenye uchaguzi mkuu, mwakani, 2017.