Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Mazungumzo ya kisiasa nchini DRC kutamatika leo, Jamhuri day nchini Kenya

Imechapishwa:

Makala ya mtazamo wako juma hili imeangazia mazungumzo ya kisiasa chini ya usuluhishi wa baraza la maaskofu wa kanisa katoliki nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo kutamatika baadaye leo huku kukiwa na hali ya wasiwasi, katika miji mikubwa ya nchi hiyo, maadhimisho ya miaka 53 ya uhuru wa Kenya, juhudi za jumuia ya nchini za Afrika magharibi kuutanzua mgogoro wa Gambia mara baada ya uchaguzi, lakini pia kimataifa tumegusia mapigano kule Alepo, nchini Syria.

Padre Donatien Nshole, katibu mkuu kwa muda wa baraza la maaskofu wa kanisa katoliki nchini DRCongo.
Padre Donatien Nshole, katibu mkuu kwa muda wa baraza la maaskofu wa kanisa katoliki nchini DRCongo. RFI/Sonia Rolley