Habari rafiki hii leo jumatatu ya kwanza ya mwaka mpya wa 2017, tumezungumza na wasikilizaji wetu kote duniani kupata maoni yao kuhusu matarajio, na mipango waliyochukua katika kuukaribisha mwaka mpya huu.Ungana nami Edmond Lwangi kusikiliza zaidi.Karibu.