Habari RFI-Ki

Katibu mkuu mpya wa umoja wa mataifa Antonio G. aanza kazi rasmi

Sauti 10:02
Antonio Guterres, katibu mkuu mpya wa umoja wa mataifa.
Antonio Guterres, katibu mkuu mpya wa umoja wa mataifa. REUTERS/Thomas Peter

Habari rafiki, tumezungumza na wasikilizaji kupata mtazamo wao kuhusu matarajio waliyo nayo kuhusu utendaji kazi wa umoja wa mataifa, baada ya katibu mkuu mpya Anthonio Guterres kuanza kazi rasmi january mosi mwaka huu 2017.