Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Wapinzani nchini DRC waendelea kusaini makubaliano ya desemba31

Sauti 20:08
Mwenyekiti wa baraza la maaskofu wa kanisa Katoliki, Cenco; Askofu mkuu Marcel Utembi, na katibu mkuu wa Cenco, Donatien Nsholé, Desemba 30 2016 jijini Kinshasa DRC.
Mwenyekiti wa baraza la maaskofu wa kanisa Katoliki, Cenco; Askofu mkuu Marcel Utembi, na katibu mkuu wa Cenco, Donatien Nsholé, Desemba 30 2016 jijini Kinshasa DRC. AFP/JUNIOR D.KANNAH

Makala hii ya mwanzo wa mwaka wa 2017 imeangazia juhudi za kanisa katoliki nchini jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, kuwahamasisha wanasiasa wa upinzani kukubali kusaini makubaliano ya hivi karibuni, na wapinzani wa Kenya kukutana wiki ijayo, lakini pia kuapishwa kwa rais mteule wa Ghana Nana Akuffo Ado jumamosi hii; Wakati, kimataifa hatua ya Urusikuondoa wanajeshi wake Syria, na mvutano kati ya Urusi na Marekani kuhusu uchaguzi uliompa ushindi Donald Trump.