Michoro ya Tinga Tinga Sehemu ya Pili

Sauti 20:48
Tamasha la sanaa kutoka Afrika inafanyika mjini Paris mara kwa mara.
Tamasha la sanaa kutoka Afrika inafanyika mjini Paris mara kwa mara. DR

Profesa Elias Jengo wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Tanzania, anaendelea kutupasha juu ya sanaa aina ya Tinga Tinga kutoka Tanzania.