Habari RFI-Ki

Je, mzozo wa kisiasa nchini Gambia utatatuliwa ?

Imechapishwa:

Wasuluhishi wa mzozo wa kisiasa nchini Gambia kutoka muungano wa kiuchumi wa nchi za Afrika Magharibi ECOWAS, wanakutana jijini Abuja nchini Nigeria, kujadili hatima ya rais Yahya Jammeh ambaye amekataa kuondoka madarakani baada ya kushindwa katika Uchaguzi wa mwezi Desemba mwaka uliopita dhidi ya mpinzani wake Adama Barrow. Unafikiri mwafaka utapatikana ? Tunajadili kwa undani.

Rais wa Gambia Yahya Jammeh
Rais wa Gambia Yahya Jammeh Photo: GRTS via AFP
Vipindi vingine
 • Image carrée
  02/06/2023 09:30
 • Image carrée
  01/06/2023 09:30
 • Image carrée
  01/06/2023 09:32
 • Image carrée
  30/05/2023 09:29
 • Image carrée
  29/05/2023 09:38