Habari RFI-Ki

Viongozi wa Afrika kurithisha madaraka kwa watoto wao

Sauti 09:33
Rais wa Uganda Yoweri Museveni na mkewe  Janet Musesveni
Rais wa Uganda Yoweri Museveni na mkewe Janet Musesveni ©Gaël Grilhot/RFI

Katika makala haya utasikia maoni ya wasikilizaji kuhusu baadhi ya viongozi barani Afrika kuwarithisha  watoto wao ama wanafamilia madaraka, sikiliza ufahamu mengi, karibu.