Habari RFI-Ki

Kuanza kwa michuano ya AFCON nchini Gabon

Sauti 10:11
Bendera ya taifa la Guinea Bissau  ikionekana katika uwanja wa Librevile nchini Gabon tayari kwa mtanange wa ufunguzi wa michuano hiyo 14 Januari 2016
Bendera ya taifa la Guinea Bissau ikionekana katika uwanja wa Librevile nchini Gabon tayari kwa mtanange wa ufunguzi wa michuano hiyo 14 Januari 2016 RFI/Marco Martins

Katika makala haya leo utasikia maoni ya wasikilizaji kuhusu michuano ya AFCON itakayoanza  hapo kesho Januari 14 2017,mjini Librevile nchini Gabon. Karibu