Mjadala wa Wiki

Mzozo wa kisiasa nchini Gambia

Sauti 14:06
Rais wa Gambia Yahya Jammeh
Rais wa Gambia Yahya Jammeh Photo: GRTS via AFP

Rais wa Gambia Yahya Jammeh, amekataa kuondoka madarakani wakati huu Muungano wa nchi za Afrika Magharibi ECOWAS ikipanga kutumia jeshi kumwondoa Jammeh, na kuapishwa kwa mshindi Adama Barrow.Tunachambua hili.