Habari RFI-Ki

Adama Barrow kuapishwa Senegal,wakati Jammeh akiendelea kung'ang'ania madaraka

Sauti 09:23
Raisi Mteule wa Gambia Adama Barrow na Yahya Jammeh anayemaliza muda wake
Raisi Mteule wa Gambia Adama Barrow na Yahya Jammeh anayemaliza muda wake Wikipedia

Hii leo dunia inafuatulia nchini Gambia kujua raisi mteule ataapishwa nchini Senegali wakati huu raisi anayemaliza muda wake Yahya Jammeh akikatalia madarakani....