Nyumba ya Sanaa

Mfahamu Martha Mwaipaja muimbaji kutoka Tanzania

Sauti 20:15
Muimbaji wa nyimbo za Injili wa nchini Tanzania Martha Mwaipaja
Muimbaji wa nyimbo za Injili wa nchini Tanzania Martha Mwaipaja

Nyumba ya sanaa inatembelewa na Muimbaji wa nyimbo za Injili jijini Dar es salaam Martha Mwaipaja ambaye mbali ya kuzungumzia safari yake na ndoto yake katika sanaa ya uimbaji anaeleza changamoto zinazoikabili sanaa hiyo katika ulimwengu wa maendeleo ya sayansi na teknolojia.