Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii

Rais Donald Trump aapishwa kuwa rais wa 45 wa Marekani

Imechapishwa:

Makala hii imeangazia kuapishwa kwa rais Donald Trump kuwa rais wa 45 wa Marekani punde baada ya kuibuka mshindi kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi novemba mwaka wa jana, lakini pia kupatikana kwa mwafaka wa mwanzo kuhusu utekelezwaji wa makubalia no ya desemba 31 mwaka jana huko DRC, na hatua ya rais Yahya Jammey wa Gambia kukubali kuondoka nchini na kupewa hifadhi nchini equatorial Guine.

Rais Donald Trump punde baada ya kuapishwa kwake jijini Washington January 20 2017.
Rais Donald Trump punde baada ya kuapishwa kwake jijini Washington January 20 2017. REUTERS/Kevin Lamarque
Vipindi vingine