Emery Sun chini ya mradi wa U'll love changes volume II
Imechapishwa:
Sauti 10:51
Emery Sun ni mwanamuziki anaefanya vizruei nchini Burundi, hivi karibuni amekuwa chini ya mradi wa kampuni ya Ikoh Multisiervice ambayo imekusanya wasanii kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya album U'll Love Changes Volume II.