Habari RFI-Ki

Hofu ya waasi wa zamani wa M 23 kurejea Mashariki mwa DRC

Sauti 10:04
Wanajeshi wa Monusco wakiwa kwenye doria Mashariki mwa DRC
Wanajeshi wa Monusco wakiwa kwenye doria Mashariki mwa DRC UN Photo/Sylvain Liechti

Ripoti kutoka Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo zinaeleza kuwa waasi wa zamani wa M 23 wamerejea katika jimbo la Kivu Kaskazini, na jeshi la serikali linasema limekuwa likipambana na waasi hao katika Wilaya ya Rutshuru na kuzua wasiwasi.Tunasikia kutoka kwa raia wa DRC.