Habari RFI-Ki

Hofu yazuka miongoni mwa wageni nchini Afrika Kusini

Sauti 10:35
Wazawa wa Afrika Kusini wakifanya fujo na kuwashambulia wageni
Wazawa wa Afrika Kusini wakifanya fujo na kuwashambulia wageni ibtimes.co.uk

Katika makala haya leo utasikia maoni kuhusu hofu iliyozuka miongoni mwa wageni nchini Afrika Kusini baada ya wazawa kuvamia na kupora mali za wageni wakiwatuhumu kujihusisha na uuzaji wa dawa za kulevya