Muziki Ijumaa

John Chris, mwanamuziki anaepeperusha bendera ya Burundi nchini Ubelgiji

Sauti 11:41
John Chris katika pozi
John Chris katika pozi John Chris/facebook

mwanamuziki wa Burundi anaepeperusha bendera ya Burundi nchini Ubelgiji John Chris bado anaendelea kuwavutia wengi wakati huu akiandaa album yake mpya. Katika makala haya na Ali Bilali John Chris anaeleza mipanga yake. usikosi kutufollow kwa instagram @billy_bilali