Habari RFI-Ki

Baraza la maaskofu DRC Cenco laingiwa wasiwasi juu ya mvutano miongoni mwa wanasiasa

Sauti 09:14
Askofu mkuu baraza la CENCO Marcel Utembi, na katibu Donatien Nsholé, le 30 décembre 2016 à Kinshasa en République démocratique du Congo.
Askofu mkuu baraza la CENCO Marcel Utembi, na katibu Donatien Nsholé, le 30 décembre 2016 à Kinshasa en République démocratique du Congo. AFP/JUNIOR D.KANNAH

Maaskofu wa kanisa katoliki wanaoratibu mchakato wa mazungumzo ya kisiasa nchini DRC wameonesha wasiwasi juu ya mvutano uliopo miongoni mwa wanasiasa kuwa unatishia kuchelewa hatua za kuandaa uchaguzi nchini humo...